Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » BALOZI WETU SAUZI AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO GAUTENG

BALOZI WETU SAUZI AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO GAUTENG

Written By mpekuaji on Sunday, May 6, 2012 | 12:24:00 PM

 Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mh Radhia Msuya akiongea na Watanzania waishio jimbo la Gauteng nchini humo kuhusu maswala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha umoja wao na kushirikiana kwa hali na mali
 Balozi Radhia Msuya (kushoto) akiendelea na mkutano wake na Watanzania waishio Gauteng
 Picha ya pamoja baada ya mkutano
Balozi Radhia Msuya na viongozi wa jumuiya ya Watanzania 
waishio jimbo la Gauteng

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts