Kilichotokea ni kwamba inaonekana wasanii hao wote watatu wa kiume wanamgombania Rihanna.. na hicho kimeonekana kupitia walichikiandika kwenye page zao za twitter
@Chrisbrown – aliandika, huyu dem anafata ndoto zake, na atazifuata milele
@Meek Mill – akaandika hawa wanawake hawamilikiwi na mtu yeyote, wote wako kwenye game au sanaa, usichanganye ukajiona kwamba unawamiliki wewe, au kwamba wanakutizama wewe tu.
@Drake – Ohhh… kwa hiyo ni kicheche wako? Pia sisi ni kicheche wetu.
Mwishoni Rihanna akamaliza kwa kutweet mara mbili akisema… Inafurahisha sana, ila cha muhimu lile jicho ndilo litakalochagua lenyewe.
Post your Comment


