Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » IKULU: RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA DREVA WA IKULU

IKULU: RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA DREVA WA IKULU

Written By mpekuaji on Sunday, May 6, 2012 | 1:21:00 PM

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu cha  maombolezo ya Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima  za mwisho kwa Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa mjane wa  Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam.shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts