Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » MAANDALIZI YA REDD'S MISS KURASINI YAENDELEA KWA KASI

MAANDALIZI YA REDD'S MISS KURASINI YAENDELEA KWA KASI

Written By mpekuaji on Tuesday, May 22, 2012 | 9:14:00 AM

Baadhi ya warembo wanaoshiriki Shindano la Redds Miss Kurasini 2012 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill, Jijini Dar es Salaam jana. Shindano la Miss Kurasini linataraji kufanyika Mei 25, 2012 katika ukumbi huo huo ambapo jumla ya warembo 16 watapanda jukwaani kuwania taji hilo.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki Shindano la Redds Miss Kurasini 2012 wakiwa katika mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill, Jijini Dar es Salaam jana. Shindano la Miss Kurasini linataraji kufanyika Mei 25, 2012 katika ukumbi huo huo ambapo jumla ya warembo 16 watapanda jukwaani kuwania taji hilo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts