Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU KUTOKA KWA MWL MWAKASEGE SASA YANAPATIKANA ONLINE

MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU KUTOKA KWA MWL MWAKASEGE SASA YANAPATIKANA ONLINE

Written By mpekuaji on Wednesday, May 2, 2012 | 1:09:00 PM





Tunapenda kuwafahamisha watu wote kuwa mafundisho ya neno la Mungu kutoka kwa mwalimu Christopher Mwakasege sasa yanarushwa online kila siku saa 10 na nusu usiku na kurudiwa jioni na saa 10 na nusu (saa za
Tanzania), katika link zifuatazo:

Kwa wenye PC tumia:

Kwa wenye Mac na Linux tumia:

Kumbuka ni kila siku saa 01:30GMT na kurudiwa 13:30GMT (Saa za Marekani ni 09:30 Eastern na kurudiwa 21:30 Eastern).

Mdau Kavishe

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts