Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA WALIOKUFA KATIKA AJALI YA MELI YA MV. BUKOBA

MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA WALIOKUFA KATIKA AJALI YA MELI YA MV. BUKOBA

Written By mpekuaji on Monday, May 21, 2012 | 12:48:00 PM






Hili ni eneo la makaburi ya baadhi ya watu waliofariki katika ajali ya meli ya MV Bukoba iliyozama Mei 21, 1996 ambayo ni miaka 16 iliyopita katika Ziwa Victoria ikitokea mkoani Kagera kuelekea Mwanza. Inakadiriwa kuwa watu zaidi ya 800 walipoteza maisha katika ajali hiyo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts