Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Mjadala wa Mabadiliko ya Tabia nchi Afrika Unaendelea Mjimni Donn Ujerumani

Mjadala wa Mabadiliko ya Tabia nchi Afrika Unaendelea Mjimni Donn Ujerumani

Written By mpekuaji on Monday, May 21, 2012 | 12:09:00 PM

 Bw. Theodore Silinge Kulia Afisa misitu mkuu kutoka wizara ya nishati na madini, na Evelyn mkokoi  Afisa habari ofisi ya makamu wa rais,wakifuatilia majadiliano ya mjadala wa mabadiliko ya Tabia nchi katika kundi la nchi za Afrika kwenye mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi unaoendelea mjini Bonn Ujerumani.Picha na Evelyn Mkokoi-Afisa Habari Ofisi ya Makamu wa Rais

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts