
Mwenyekiti wa Kamati ya Wazee wa Klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali akitangaza kumfuta Uenyekiti wa timu hiyo, Lyod Nchunga, baada ya kutimiza kolamu ya wanachama mia tano na hamsini na sita na wajumbe nane kujiuzuru rasmi
wakati wa mkutano wa wanachamauliofanyika kwenye klabu hiyo, Mtaa wa Jangwani naTwiga jijini Dar es Salaam.
wakati wa mkutano wa wanachamauliofanyika kwenye klabu hiyo, Mtaa wa Jangwani naTwiga jijini Dar es Salaam.

Wanachama wa Yanga wakishangilia tamko la kumg'oa Mwenyekiti wa Klabu hiyo Lyod Nchunga

Mashabiki wa Yanga ambao si wanachama, wakifuatilia mkutano wakiwa mbali
![]() |
| Mmoja wa wanachama wa Yanga, anayeitwa Nyachia akionyesha kadi yake wakati wa kujisajili kuingia kwenye mkutano huo. Fuatilia katika Blogu hii baadaye tunapandisha Video ya sehemu ya mkutano huo. |

Tofauti na vikao vingine vya Yanga ambavyo hufanyika katika ukumbi wa jengo la Klabu hiyo
Post your Comment



