
Haruna Moshi Boban wa pili kutoka kushoto na Mussa Hassan Mgosi wa kwanza kushoto wakizungumza na wenyeji wao wakati wa mazishi ya aliyekuwa mchezji wa timu ya Simba marehemu Patrick Mutesa Mafisango leo huko Lemba, Kinshasa DRC Congo Fullshangwe imeshuhudia tukio hilo na itakuwa ikikumuvuzishia kadiri matukio yatakavyokuwa yakiingia..
![]() |
| Waombolezaji wamejitokeza kwa wingi sana katika mazishi ya Mafisango huko Lemba nje kidogo ya jiji la Kinshasa. |
![]() |
| Waombolezaji wakiwa katika mstari tayari kwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Patrick Mafisango. |
Post your Comment




