Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » SHY-ROSE AANZA KUWATEMBELEA MABALOZI WA EAC TANZANIA

SHY-ROSE AANZA KUWATEMBELEA MABALOZI WA EAC TANZANIA

Written By mpekuaji on Monday, May 7, 2012 | 4:23:00 PM

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Banji akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania Mutindo Mutiso alipomtembelea Balozi huyo Ofisini kwake leo na kuzungumza mambo mbalimbali. 
Banji ameanza ziara maalum ya kuwatembelea Mabalozi wa nchi Wanachama wa Afrika Mashariki(EAC) waliopo Tanzania kabla ya kuapishwa rasmi kushika wadhifa huo mwezi ujao jijini Arusha yalipo makao Makuu ya EAC na Mhimili huo wa Serikali za EAC.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts