Mtandao huu uliwahi kumtambulisha Cynthia Masasi kama mmoja wa models toka Tanzania wanao-shine vizuri huko Marekani.
Kama hujui ni kwamba Cynthia aliwahi kuwa 1999 Miss Tanzania [Rollers] in London, United kingdom 2000, Miss Summer Jam in Tanzania 2002 2nd Runner Miss Bantu [Africa] Dallas Tx Promotion, pia aliwahi ku-host a party with Da Brat, Chamillionaire bila kusahau ku-mc Jazze Pha Birthday party.
Habari za kuaminika toka kwa ndugu wa Cynthia ambaye ni mke wa Richie Mziray kwa sasa amerudi nyumbani na siku si nyingi atafungua biashara za mavazi na pia magari.
Post your Comment



