Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » WANAFUNZI KUMCHANGIA LULU MKWANJA.

WANAFUNZI KUMCHANGIA LULU MKWANJA.

Written By mpekuaji on Friday, June 22, 2012 | 5:29:00 AM

Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani, lazima watu wa kwenu watakujali kwenye shida na raha.  

Elizabeth Michael "Lulu"  alisoma shule ya sekondari "Perfect Vision" hapo zamani katika masomo yake ya O level. 

Habari za kuaminika  ni kwamba wanafunzi wa shule hiyo wameamua kujichangisha wenyewe ili wapate pesa za kumsaidia Lulu kwenye suala la kisheria.

Wanafunzi hao wamelaani kitendo  cha  kesi yake kupelekwa mbele kila inapoitwa na kufanya gharama izidi kuongezeka.  

Chanzo chetu kiliongea na mkuu wa  shule hiyo na alikuwa na haya:, "NI kweli wanafunzi wangu kwa ridhaa yao wenyewe wameamua kumchangia mwenzao ambaye alisoma hapa miaka kadhaa iliyopita"
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts