Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » DOGO JANJA ATUA DAR KWA PIPA

DOGO JANJA ATUA DAR KWA PIPA

Written By mpekuaji on Friday, June 22, 2012 | 1:29:00 PM

Siku chache baada ya kuondolewa ndani ya kundi la Tip Tipo Connection, staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdul Abubakar Chende ‘Dogo Janja’ ametua Bongo Muda mfupi uliopita akitokea A-town (Arusha).

Taarifa ambazo zimeifikia blog hii kutoka pande za uwanja wa ndege wa JK Nyerere zinasomeka kuwa Dogo Janja ametua mida ya saa 4:30 kwa pipa (ndege) na kulakiwa na mashabiki wake wliojitokeza kwa wingi.

Akiwa jijini Arusha kabla ya kuanza safarai yake hii ya leo jana Dogo janja aliiposti kupita BBM maneno yaliyosomeka “Ki2 cha dua nini home lazima kieleweke” akimaanisha kuwa yuko kwenye kuomba dua ili safari yake ibarikiwe.

Endelea kufuatilia stori hii
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts