Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Ajali mbaya yatokea tegeta,wawili wapoteza maisha na wengine nane wajeruhiwa vibaya

Ajali mbaya yatokea tegeta,wawili wapoteza maisha na wengine nane wajeruhiwa vibaya

Written By mpekuaji on Thursday, June 21, 2012 | 6:51:00 PM

Wananchi wa eneo la Tegeta Kibaoni, jijini Dar es Salaam wakisaidiani na polisi kuupakiza mwili wa mmoja wa mwananchi ambaye hakutambulika jina lake mapema,kwenye gari kati ya watu waliokufa katika  ajali iliyotokea baada ya Lori la mchanga kupata hitilafu ya breki  na kuacha  barabara na kugonga Daladala kabla ya kuvamia baa na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo na wengine nane kujeruhiwa leo.Picha kwa hisani ya MOBILE STUDIO 2002.

Wananchi wa eneo la Tegeta Kibaoni, jijini Dar es Salaam wakijaribu kutoa mwili wa mmoja wa mwananchi kati ya watu waliokufa katika  ajali iliyotokea baada ya Lori la mchanga kupata hitilafu ya breki  na kuacha  barabara na kugonga Daladala kabla ya kuvamia baa na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo na wengine nane kujeruhiwa leo.Picha kwa hisani ya MOBILE STUDIO 2002.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts