All you know who I am…Arnold Kayanda, hiyo ni jingle ambayo hutumiwa sana na presenter mnene kuliko wote at Clouds FM ambaye now days anasikika kwenye Jahazi na wadau wake Ephraim Kibonde na Wasiwasi Mwabulambo.
Back in the days alikua anakinukisha kila jumapili aki-count down top 20 in stylish way ambayo watu wengi watakua wamei-miss kwa sasa.
Kwasababu mtoto mzuri Fetty anaenda South Africa ku-dj for Big Brother na yeye ndiye presenter wa show hiyo by now, so mzigo atausukuma Arnold Kayanda kwa mara nyingine tangu auache miezi kadhaa iliyopita.
Jumapili hii tarehe 10/6/2012 the man himself atakuwa hewani aki-count down ngoma kali ishirini kumsaidia Dj Fetty. Kwenye page yake ya facebook aliandika hivi, “Clouds FM Top 20 Jumapili hii italetwa kwako na Arnold Kayanda!
Niko naipitia list hapa kuona nani aongelewe nini na kwa nini!”
So stay tuned!!!
Post your Comment



