Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » GENEVIEVE NNAJI AIGIZA NA VIVICA FOX KWENYE "DOCTOR BELLO"

GENEVIEVE NNAJI AIGIZA NA VIVICA FOX KWENYE "DOCTOR BELLO"

Written By mpekuaji on Sunday, June 10, 2012 | 7:44:00 AM




It seems African actors are flying high.

Star wa filamu za kinigeria Genevieve Nnaji pamoja Bi.Harusi mpya Stephanie Okereke wapo locotions wakimalizia kufanya filamu mpya ya "Doctor Bello" alongside Hollywood superstars Vivica Fox and Isaiah Washington, kwenye filamu hiyo ya Tony Abulu ambayo inahusu kupatikana kwa tiba ya ugonjwa wa kansa.

Filamu hiyo ambayo ilianza kufanyiwa production in April, inategemea kuwa blockbuster all over the world pale itakapo hit theatres mwezi wa tisa mwaka huu. Genevieve amekuwa ndio mwigizaji wa kike kutoka Africa ambaye producers wengi wa Hollywood wamekuwa wakitaka kufanya nae kazi baada ya kushine vizuri in Africa movie industry.

What's up Bongo actresses, lini mtaiga mfano wa wenzenu wa Nollywood?

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts