Few days after landed katika ardhi ya Tanzania from Obamaland, mwanadada Linah leo ame-release exclusive pics za matukio ya nyuma ya camera wakati alipokuwa akishoot video ya wimbo alioshirikiana na wasanii wa kimarekani waitwao "Ajubao"
.
The video was shot in California wakati Linah alipokuwa kwenye tour ya miezi 3 nchini Marekani.
As usual Mpekuziblog is giving you the access to see what happened behind the camera of that video shooting. ........................................
Post your Comment






