Msanii kutoka nyumba ya vipaji ambapo sifa yao nyingine ni kuwa wafupi zaidi ya kuwa na vipaji vya kuimba, Estelinah Sanga alias Linah. Hivi karibuni amerudi toka kwenye tour yake nchini Marekani ambapo alifanya show kibao kwenye miji tofauti pande hizo.
Ndege huyo alikimbia vipigo vya Amini na kuamia kwa mmarekani ambaye inasemekana washamwagana. Baada tu ya kurudi kutoka pande hizo ameuamua kuhama kutoka Kinondoni kwa madai kwamba nyumba aliyokuwa akikaa before, haimtoshi kulingana na vitu alivyokuwa navyo kwa sasa.
So, wale mashostito na vijamaa mliokua mnafuatilia mzigo sasa anajitupia pande za Kijitonyama, ambako anasema kuna nyumba kapata inayotosha vitu vyake.
Post your Comment



