Baada ya kutumia almost 30 million shilings katika kuitengeneza debut movie ya kampuni yake, mwanadada Wema Sepetu is all set kuizindua filamu yake ya "Superstar" na ya kufunga mwaka.
Uzinduzi wa filamu hiyo unatarajiwa kufanyika tarehe 23 mwezi huu katika hotel ya hadhi ya Nyota tano - Kilimanjaro Kempinski. According to our snitch usiku wa uzinduzi wa filamu filamu utapambwa na ugeni wa diva kutoka Nollywood ambaye bado mpaka sasa haijakuwa confirmed kati ya Genevieve Nnaji, Rita Dominic au Omotola Jalade.
Pia show ya launch ya "Superstar" itasindikizwa na show kutoka kwa wanamuziki wa kike tu kutoka area code 255.
We cant wait for this massive attack of our own Queen of Bongo Movies.
Post your Comment



