Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa kampuni ya kilimo ya YARA ya nchini Norway inayoshughulika na uzalishaji wa mbolea wakati walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam jana. Kampuni hiyo ina andaa mipango ya kuzalisha mbolea nchini.
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya Kilimo ya YARA ya nchini Norway wakati alipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam Jana.Picha na Freddy Maro-IKULU
Post your Comment


