Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Mh. Jerry Slaa afungua Mafunzo ya huduma za matibabu kwa wananchi(TIKA) jijini Dar leo

Mh. Jerry Slaa afungua Mafunzo ya huduma za matibabu kwa wananchi(TIKA) jijini Dar leo

Written By mpekuaji on Thursday, June 7, 2012 | 6:44:00 PM


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Mh. Jerry Slaa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya mchakato wa uanzishwaji wa huduma za matibabu kwa wananchi kupitia mpango mpya wa Tiba kwa Kadi (TIKA) kwa madiwani wa Manispaa hiyo yanayotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambao ni msimamizi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) inayoendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa Arnautoglo,Ilala jijini Dar es Salaam.Kushoto Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Khamis Mdee na Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala,Ellioth Mwasambite.
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Khamis Mdee akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya mchakato wa uanzishwaji wa huduma za matibabu kwa wananchi kupitia mpango mpya wa Tiba kwa Kadi (TIKA) kwa madiwani wa Manispaa ya Ilala,Jijini Dar es Salaam leo.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala,Ellioth Mwasambite akiwatambulisha baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Ilala waliofika kwenye Mafunzo hayo leo.
Baadhi ya Madiwani wa Ilala waliofika kwenye Mafunzo hayo leo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts