Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » ShowBiz Defined kusaka vipaji vya uimbaji

ShowBiz Defined kusaka vipaji vya uimbaji

Written By mpekuaji on Thursday, June 7, 2012 | 7:04:00 PM


Wakati Bongo Star Search ikitarajiwa kuanza usaili mwezi huu mkoani Dodoma, kampuni ya ShowBiz Defined nayo itafanya auditions kusaka vipaji vya muziki.

Akitoa taarifa hiyo jana, mwenyekiti wa mtendaji wa kampuni hiyo Mike T, amesema usaili huo utafanyika kuanzia tarehe 28-30 mwezi huu.
Vipaji vitakavyosakwa ni vya rap, kuimba pamoja na muziki wa injili.
Mike T amesema shughuli hiyo itasimamiwa na kampuni yake ikishirikiana na Future Sounds Records.
Hata hivyo hakuweza kufafanua kama usaili huo utafanyika pia mikoani.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts