Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » JK AKIPIGA JARAMBA KUJIWEKA FIT ARUSHA LEO

JK AKIPIGA JARAMBA KUJIWEKA FIT ARUSHA LEO

Written By mpekuaji on Sunday, June 3, 2012 | 3:20:00 PM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, aliye katika mapumziko mafupi jijini Arusha, akiwa katika mazoezi yake ya  kutembea kilomita tatu kila asubuhi na jioni kabla ya  kufanya mazoezi ya viungo na kuingia gym, katika kuuweka mwili wake katika hali ya ukakamavu na afya. Wakaazi wengi wa Arusha ambao wamemuona akitembea wamesisimkwa na kufurahishwa sana na hatua hiyo ya kiongozi mkuu wa nchi kuwa mstari wa mbele katika kujenga afya kwa mazoezi ya kila siku, na kutaka kila mtu, si viongozi tu, kuiga mfano wake.



Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts