Habari zilizothibitishwa na uongozi wa CHADEMA ni kuwa Mzee Bob Makani,mwenyekiti mstaafu wa chama hicho amefariki dunia jioni ya tarehe 9 june 2012.
Mpekuziblog inaungana na familia yake,chama chake na watanzania wote kuomboleza msiba wa mwanaharakati huyu.Mungu amlaze mahali pema paradiso
Post your Comment



