Katika mkutano wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani hapo jana, Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe alitoa namba yake ya simu kwa ajili ya mawasiliano na Wananchi.
Alisema mwananchi anaweza kumpigia simu namba 0782 242 526 wakati wowote atakapokumbana na adha yoyote kwenye sekta ya usafiri.
Alisema mwananchi anaweza kumpigia simu namba 0782 242 526 wakati wowote atakapokumbana na adha yoyote kwenye sekta ya usafiri.
Post your Comment