Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Pinda afungua kiwanda cha Kusindika Asali Kibaha

Pinda afungua kiwanda cha Kusindika Asali Kibaha

Written By mpekuaji on Saturday, June 9, 2012 | 9:45:00 PM

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kiwanda cha kusindika asali cha Organic Honey katika kijiji cha Visiga mkoani Pwani kinachomilikiwa na kampuni ya Boleyn International, Juni 9, 2012.Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na anyepiga makofi katikati ni Mkrurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Jack Liu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo baada ya kufunguza kiwanda cha kusindika asali cha  Organic Honey katika kijiji cha Visiga  mkoani Pwani  kinachomilikiwa na Kampuni ya  Boleyn  International, Juni 9, 2012

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts