Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Waziri Kagasheki apokelewa kwa shangwe mjini bukoba.

Waziri Kagasheki apokelewa kwa shangwe mjini bukoba.

Written By mpekuaji on Saturday, June 9, 2012 | 9:47:00 PM

Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mama Cositancia Buhiye akimkaribisha Mh. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Hamis Sued Kagasheki
 Meya wa manispaa Mh. Anathory Amani akimkalibisha Mh. Waziri
 Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Sheikh Haruna kichwabuta akimsakimia Mh. Waziri Balozi Kagasheki
 mapokezi nje ya uwanja wa ndege
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Hamis Sued Kagasheki akisalimiana na watu mbalimbali waliofika kumlaki mara baada ya kuwasili ndani Bukoba,Picha kwa hisani ya Bukobawadau Blog.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts