Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Kutumia Billioni 648 Bajeti Ya 2012-13

Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Kutumia Billioni 648 Bajeti Ya 2012-13

Written By mpekuaji on Saturday, June 9, 2012 | 8:52:00 PM

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Zanzibar anayeshughulikia Fedha Uchumi Mipango ya Maendeleo, Omar Yussuf Mzee (pichani) akiwasilisha mwelekeo wa Bajeti ya Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013 ambapo makadirio ya mapato na matumizi ni Sh.bilioni 648.9.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Zanzibar anayeshughulikia Fedha, Uchumi , Mipango na Maendeleo, Omar Yussuf Mzee (kulia) akitoa taarifa ya mwelekeo wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mwaka 2012/2013 kwa wandishi wa habari kwenye ukumbi wa ofisi yake Vuga mjini Zanzibar jana.Picha na Martin Kabemba.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts