Ukiperuzi kitabu cha Biblia utakutana na simulizi zinazolandana na matukio kama yanayoonekana pichani.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akipita juu ya khanga zilizotandikwa na akina mama wa Songea, Ruvuma (picha: blogu ya CCMChama )
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa akizungumza na vijana wa kijiji cha Mvuleni, jimbo la Mchinga, Lindi, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara. (picha: Joseph Senga via Francis Dande)
Post your Comment


