
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII:
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kuwajulisha wanafunzi wote waliohitimu vyuo vya afya nchini mwezi Machi 2012, kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi kabla ya tarehe 30 June,2012.
Pia waombaji wengine waangalie majina yao kwenye website ya Wizara www.moh.go.tz
Regina L. Kikuli. Kaimu Katibu Mkuu. 21/06/2012.
Post your Comment


