Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » TETESI : MHE HALIMA MDEE AINGIA KWENYE BONGOMOVIE?

TETESI : MHE HALIMA MDEE AINGIA KWENYE BONGOMOVIE?

Written By mpekuaji on Friday, June 22, 2012 | 4:54:00 AM


Mbunge kijana ambaye ni rafiki wa wasanii tofauti wa Bongoflava na Bongomovie kama Masanja, Lady Jay Dee na wengine kibao ameigeukia bongo movie.
 Labda sanaa imemvutia mheshimiwa kijana na yeye kutaka kufanya movie. Habari ni kwamba, inasemekana Mhe Halima Mdee amefanya scene kadhaa ya Bongomovie ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kukamilika. 
 Get ready kuona kipaji kingine zaidi ya uongozi ambacho Mwenyezi Mungu amemjalia binti Mdee.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts