Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Yanga yaanza kufanya kufuru uwanja wa Taifa leo,hadi Mapumziko yaongoza bao 6-0

Yanga yaanza kufanya kufuru uwanja wa Taifa leo,hadi Mapumziko yaongoza bao 6-0

Written By mpekuaji on Tuesday, July 17, 2012 | 6:05:00 PM

 Ubao wa Matokeo unavyoonyesha sasa.
 Kiunga wa Yanga,Nizar Khalfan akichuana na Beki wa El- Salam Wau wakati wa mchezo wao wa Mashindano ya Kagame unaopigwa hivi sasa uwanja wa Taifa.Yanga inaongoza Bao 6-0 hadi hivi sasa.Globu ya Jamii ipo uwanja wa Taifa Hivi sasa kuhakikisha inawaletea kina kinachojiri uwanjanu hapa.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts