Written By mpekuaji on Monday, June 11, 2012 | 2:25:00 PM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakikagua mahindi shambani kwao kijijini Msoga,Chalinze,wilayani Bagamoyo wakati wa mapumziko ya mwisho wa wiki (picha na Freddy Maro).