Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » TIGU, A NETWORK OPPORTUNITIES CONFERENCE AT RENNAISANCE HOLLYWOOD HOTEL LA.

TIGU, A NETWORK OPPORTUNITIES CONFERENCE AT RENNAISANCE HOLLYWOOD HOTEL LA.

Written By mpekuaji on Monday, June 11, 2012 | 5:14:00 AM

CEO wa TIGU Inc bwana Nduse Sebabili Akifungua mkutako kwa kumkaribisha Mgeni rasmi Mh. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar, nchini Marekani na Mexico, Mkutano huo ulijulikama kama Tanzania American Business Conference, Developing Business relationship" uliofanyika Rennaisance Hollywood Hotel, Los Angles, California. Mkutano huo ulifana na Watanzania wengi walijitokeza kuhudhuria na kupata fursa ya kutangaza kampuni zao. Mkutano huo ulihusisha Watanzania waishio Marekani na wale waishio Tanzania akiwemo mwanamitindi maarufu na bosi wa Mitindo House Khadija Mwanamboka, mwakilishi toka bwana Mbaruku Magawa ambaye ni Meneja Masoko na Huduma Jamii wa PPF,  Meneja Uhusiano wa PPF bi. Lulu Mangele, Meneja wa Sheria wa PPF bwana Nicander Kileo na bwana David Shambwe Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa NHC.
Kwa upande wa Marekani kulikuwa na makampuni na watu wengi waliojitokeza akiwemo Mshauri wa Biashara na mwandishi wa kitabu "The 7 powerful lessons to succeed in Business" ndugu Yassini A Kapuya, CEO wa ESM Travel ndugu Elias Mwita.

Mgeni rasmi Mh. Mwanaidi Sinare Maajar, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akizungumza katika mkutano wa TIGU. Mh.Balozi aliwasifu Watanzania kwa umoja na juhudi wanazozifanya kimaendeleo na kuwaomba waendelee kwa ari na moyo wa namna hiyo.
 Mkurugenzi wa TIGU Inc akiongea machache.
Ndugu, Mbaruku Magawa ambaye ni Meneja Masoko na Huduma Jamii wa PPF, 
 hiyo Kampuni yake hiyo, Alitoka Chicago.Ndugu Elias Mwita CEO, ESM Travel, Akiongoa mamchache juu ya utendaji wake wa kazi za kusahidia watu kueza kupata ticket za ndege kwa gharama nafuu.
 Bwana David Shambwe Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa NHC.
Bi Khadija Mwanamboka Mwanamitindo na bosi wa Mitindo House akiongea machache siku hiyo ya mkutano.
 Bi Eliserena Kimalo, CEO wa Jambo Child Africa Hope, Akiongea machache mkutanoni hapo.
 Washiriki  wa mkutanoni huo wakimzikiliza Mh balozi Mwanaidi Sinare Maajar
 Meza ya mabosi wa PPF wakimsikiriza bosi wao Mbaruku  Magawa akiongea juu ya utendaji wa PPF.


 Picha ya pamoja kutoka kushoto ni Bi Nancy mkurugenzi wa TIGU Inc, CEO Wa TIGU Inc, Nduse Sebadili, Mh Cyril S Ndaba, South Africa General in Los Angles, Ahmed Issa na Iddy Mtango

 CEO wa ESM Travel Elias Mwita Ukodak Moment na washiriki pamoja na Mkurugenzi wa TIGU Iddy Mtango Mwisho.
 Bi Khadija Wa Mitindo House Ndani ya Nyumba...!



Ny Ebra mwakirishi wa vijimambo New York Ukodak na Dada yake Juu Ya Red Carpet

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts