Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » AUDIIO: TAARIFA YA HABARI TBC ,AGOST 4,2012. TANZANIA YAKANUSHA TETESI ZA KUFARIKI MGONJWA WA EBORA

AUDIIO: TAARIFA YA HABARI TBC ,AGOST 4,2012. TANZANIA YAKANUSHA TETESI ZA KUFARIKI MGONJWA WA EBORA

Written By mpekuaji on Saturday, August 4, 2012 | 9:14:00 PM




Afisa Afya wa Mkoa wa Kagera, Herman Kabirigi amekanusha habari za kuwepo ugonjwa wa Ebola mkoani humo, ugonjwa ambao umeikunda nchi jirani ya Uganda.


Kabirigi amesema taarifa hizo si za kweli na kwamba mtoto huyo aliyewekwa kwenye uangalizi maalumu, hajafariki kama inavyoelezwa na baadhi ya watu.


Bofya kifute cha pleya kuisikiliza taarifa hiyo na nyinginezo.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts