Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » BABY MADAHA ANASWA AKIWA TUNGI.......WAHUNI WAMKOSAKOSA KUMFANYIA

BABY MADAHA ANASWA AKIWA TUNGI.......WAHUNI WAMKOSAKOSA KUMFANYIA

Written By mpekuaji on Friday, August 10, 2012 | 12:38:00 PM


WADAU mbalimbali wamemtahadharisha msanii wa filamu ambaye pia anafanya muziki, Baby Joseph Madaha kupunguza kunywa pombe kwani asipojiangalia itamuua.

Hayo yamekuja kufuatia msanii huyo kunaswa na Mwandishi  wetu maeneo ya Kinondoni jijini Dar akiwa bwii huku mkononi ameshikilia chupa ya pombe kali.


Akiwa maeneo hayo, Madaha alionekana kuzidiwa na kilevi hicho, kitendo kilichowafanya vijana wa kihuni kumzengea ili kama angezima jumla wamfanyizie.


Hata hivyo, baada ya msanii huyo kubaini kama angejipindua tu wahuni wangemfanyia mchezo mbaya, aliamua kujikokota na kwenda kujichanganya kwenye kundi la wasichana wengine.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts