Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » NISHA AMTOSA MUME WA MTU

NISHA AMTOSA MUME WA MTU

Written By mpekuaji on Friday, August 10, 2012 | 1:04:00 PM


STAA wa filamu Bongo,  ameamua kuvua pete ya uchumba baada ya kuona anaandamwa na maneno kutoka kwa mwanamke anayedaiwa ni mke wa mwanaume aliyemvisha pete hiyo, Geofrey Kusila.


Akizungumza na Mwandishi wetu hivi karibuni Nisha alisema, yeye ni msanii lakini pia anafuata maadili ya dini ya Kiislam hivyo kutokana na malalamiko ambayo amekuwa akiyatoa mwanamke anayedai kuingiliwa katika penzi, yeye ameamua kujitoa.


“Nilimpenda Geofrey ndiyo maana nikakubali anivalishe pete ya uchumba lakini nimeona bora niachane naye kwani najisikia vibaya ninaposikia yule mwanamke wake ananilalamikia.


“Ukichukulia huu ni Mwezi Mtukufu, ili Mungu aikubali swaumu yangu, bora niachane na mwanaume huyo ili mke wake awe na amani, mimi nitampata mwingine,”
alisema Nisha.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts