L-R: Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Makame Mbarawa akipiga makofi wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kitabu kiitwacho "Lighting Fire" kilichoandikwa na wanasayansi 31 mabingwa wa Kitanzania, kwenye ukumbi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Tekinolojia, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, siku ya Agosti 2, 2012. Aliyeo kulia ni Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS), Profesa Esther Mwaikambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post your Comment


