Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » MASTAA AVRIL NA MARYA WATAITIKISA CLUB BILLCANAS JUMAPILI HII

MASTAA AVRIL NA MARYA WATAITIKISA CLUB BILLCANAS JUMAPILI HII

Written By mpekuaji on Wednesday, August 22, 2012 | 4:57:00 PM


Avril na Marya ambao ni mastaa wa hit single ya ‘Chokoza’ wamekubali mwaliko wa kulimiki stage club Billicanas jumapili hii August 26 2012 kwenye Extreem Bash na itakua ni mara yao ya pili kuja kufanya show pamoja baada ya hiyo hit single ya ‘chokoza’.
Marya.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts