Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » WAREMBO REDDS MISS MWANZA 2012/13 WAANZA KAMBI RASMI

WAREMBO REDDS MISS MWANZA 2012/13 WAANZA KAMBI RASMI

Written By mpekuaji on Thursday, August 23, 2012 | 9:06:00 PM


Warembo Redds Miss Mwanza 2012/13 wameanza rasmi kambi yao katika Hoteli ya Isamilo Lodge, ambapo warembo 18 kutoka wilaya zote za Mkoa wa Mwanza, watashiriki shindano hilo, linalotarajiwa kufanyika ijumaa tarehe 31/08/2012 katika uwanja wa Mwanza Yatch Club jijini Mwanza.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts