Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » HILI NDO JUMBA LA KIFAHARI WANAPOKAA WASHIRIKI WA EPIC BONGO STAR SEARCH 2012

HILI NDO JUMBA LA KIFAHARI WANAPOKAA WASHIRIKI WA EPIC BONGO STAR SEARCH 2012

Written By mpekuaji on Thursday, September 20, 2012 | 2:37:00 AM



Epic BSS House
Inavyoonekana mwaka huu kuna mengi yaliyoboreshwa katika shindano la kusaka vipaji vya waimbaji ambalo limepewa Jina la Epic Bongo Star Search.

Moja ya vitu vinavyoashiria ubora zaidi wa shindano hilo kwa mwaka huu kulinganisha na mashindano ya miaka iliyopita, ni mjengo ambao unawahifadhi washiriki wote katika kipindi chote cha shindano hilo, mpaka siku atakapopatikana mshindi wa zawaidi kubwa ambayo ni Million 50 tsh.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts