Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , , » AMINI NA LINAH WAMALIZA TOFAUTI ZAO......WADODOSAJI WANADAI KUWA HUENDA WAKARUDIANA

AMINI NA LINAH WAMALIZA TOFAUTI ZAO......WADODOSAJI WANADAI KUWA HUENDA WAKARUDIANA

Written By mpekuaji on Wednesday, October 31, 2012 | 12:22:00 PM


Inakupa picha gani pale unaposikia wale waliokuwa wapenzi kukutana na kufanya collabo kwenye siku ya birthday ya mmoja wao? Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Amini ambayo aliamua kuitumia kurekodi wimbo aliomshirikisha ex wake Linah!

Kutokana na kitendo hicho maswali mengi yameanza kuzunguka vichwani mwetu kuwa wapenzi hawa wa zamani wamerudiana ama ni marafiki tu? Wimbo umerekodiwa katika studio za producer C9.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts