Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , » MZUNGU KICHAA AJIPANGA KUENDESHA SEMINA YA SIKU MBILI KWA WASANII WACHANGA JIJINI NAIROBI

MZUNGU KICHAA AJIPANGA KUENDESHA SEMINA YA SIKU MBILI KWA WASANII WACHANGA JIJINI NAIROBI

Written By mpekuaji on Wednesday, October 31, 2012 | 12:24:00 PM



Mwanamuziki raia wa Denmark mwenye makazi yake nchini Tanzania, Espen Sørensen aka Mzungu Kichaa leo anatarajia kuanza semina ya siku mbili kwa wasanii wachanga jijini Nairobi Kenya.

Semina hiyo itafanyika katika ofisi za Sarakasi Trust.
“The workshop will be steps to success through management, marketing and identity,” yamesema maelezo yake.

Pia Mzungu Kichaa atafanya concert ya bure katika bweni la Sarakasi Ijumaa hii.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts