Written By mpekuaji on Wednesday, October 31, 2012 | 5:10:00 PM
Picha za Scott Disick zinazomwonesha akiwa amemkumbatia mchumba wake Kourtney Kardashian kwa style ya aina yake zimezua mjadala mkubwa kwenye internet ambapo wengi wanahisi kamkosea heshima mama watoto wake