Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » "TUZO ZA RFA ZIMENIPA JINA KIMATAIFA"......LAMECK DITTO

"TUZO ZA RFA ZIMENIPA JINA KIMATAIFA"......LAMECK DITTO

Written By mpekuaji on Thursday, November 22, 2012 | 9:17:00 PM



Habari mpya kutoka kwa msanii huyu baada ya kushiriki tuzo za RFA, siku ya leo aliweza kuchonga namwandishi  na akafunguka na kusema tuzo hizi zimemfanya ajulikane kimataifa kwani alijikuta akipigiwa simu tofauti na watu mbalimbali kuhusiana na ngoma yake inayojulikana kwa jina la Niamini.

“Pia nilikuwa napata simu nyingi huku wengine wakiomba nifanye nao kazi, kupitia tuzo hizo kwa namna moja au nyingine naanza kuona mafanikio yanakuja na siku za usoni nitaweza kuipeperusha bendera ya Tzee kimataifa kupitia muziki wangu”- added Ditto.
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts