Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » BREAKING NEWZZ!!....GODBLESS LEMA ASHINDA RUFAA YAKE YA UBUNGE.HIVI SASA NI MBUNGE HALALI

BREAKING NEWZZ!!....GODBLESS LEMA ASHINDA RUFAA YAKE YA UBUNGE.HIVI SASA NI MBUNGE HALALI

Written By mpekuaji on Friday, December 21, 2012 | 10:00:00 AM



Habari zilizotufikia hapa mtandaoni kutoka kwa mtu wetu aliyepo mahakamani ni kwamba Mbunge wa Arusha mjini Godbless lema ameshinda rufaa yake ya ubunge.

Rufaa hiyo ilikuwa inasikilizwa mahakama kuu ya rufaa jijini Dar es salaam.Kwa maaana hiyo ni kwamba lema kwa sasa atakuwa mbunge halali wa arusha mjini.

Ikumbukwe lema alisimamishwa ubunge wake kupitia kesi iliyofunguliwa kwamba wakati wa kampeni zake alitoa lugha isisiyotakiwa kwa mgombea wa ccm.

HABARI  ZAIDI ZINAKUJA......

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts