Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » HII NDO VIDEO YA UNYAMA UNAOTENDEKA HUKO SOMALIA.....TUMUOMBE MUNGU ATUEPUSHE NA UNYAMA HUU

HII NDO VIDEO YA UNYAMA UNAOTENDEKA HUKO SOMALIA.....TUMUOMBE MUNGU ATUEPUSHE NA UNYAMA HUU

Written By mpekuaji on Friday, December 21, 2012 | 2:30:00 AM

Mpaka sasa  nimeshindwa niandike nini juu ya habari  hii mana NIMESHINDWA KUIMALIZIA  HII  VIDEO......

Ni vigumu sana kuushuhudia unyama  na ukatili  kama huu ukitendwa  mbele ya binadamu mwenzako.....

Tanzania ni miongoni  mwa  nchi zilizobarikiwa  na kujaliwa  AMANI...Ni  vema  tukaitunza  AMANI  hii  maana  vitu  si kitu  cha  kitoto......

Watu ambao huathirika  na kuumia ni sisi watu  wa  chini  ambao hatuna kitu.

MUNGU  IBARIKI TANZANIA... 


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts