Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Bashe: CCM ni Waoga, Wanafiki na wa Kujipendekeza, Hatuna Sababu ya Kuendelea Kubaki Madarakani

Bashe: CCM ni Waoga, Wanafiki na wa Kujipendekeza, Hatuna Sababu ya Kuendelea Kubaki Madarakani

Written By Vuvuzela on Friday, May 27, 2016 | 1:45:00 PM

Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii amewaambia wabunge na serikali kuwa hawajawahi kuweka malengo haswa ya kutatua matatizo ya wafugaji na wakulima, wamekuwa waoga, wanafiki na wakujipendekeza.

Ameongezea CCM kwa wingi wao hawana sababu ya kuendelea kubaki madarakani kama wameshindwa kuishauri serikali kwa ukweli.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts