Written By Vuvuzela on Wednesday, May 25, 2016 | 11:48:00 AM
Basi la mwendokasi T 123 DGW lionekanavyo baada ya kupigwa
pasi na Gari ndogo yenye namba za usajili T543 CUQ , katika makutano ya
Barabara ya Msimbazi na Morogoro, Jijini Dar es Salaam leo.