Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Waziri Mkuu Kuwasili Lusaka Nchini Zambia Katika Mkutano wa Benki ya Maendeleo Ya afrika

Waziri Mkuu Kuwasili Lusaka Nchini Zambia Katika Mkutano wa Benki ya Maendeleo Ya afrika

Written By Vuvuzela on Tuesday, May 24, 2016 | 9:47:00 AM




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ulinzi wa Zambia, Christopher Mulenga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Keneth Kaunda uliopo Lusaka Mei 23, may 2016 ambako leo atamwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Watanzania bada ya kuwasili kwenye hoteli ya Intercontinental iliyopo Lusaka baada ya kuwsili Mei 23, 2016 amabako leo atamwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts